Mkurugenzi mtendaji wa ESRF
Muda Ilipowekwa : 2015-03-01 12:00:00
Warsha kuhusu mahitaji na vikwazo katika upatikanaji wa huduma za kifedha nchini Tanzania, iliyofanyika kwenye ukumbi wa kituo cha utafiti cha ESRF kilichopo Victoria jijini Dar es salaam