S01E33 Kongamano la Kilimo Biashara Kanda ya Ziwa.
Muda Ilipowekwa : 2016-09-07 12:03:00
Kongamano hili liliandaliwa na Taasisi ya Tafiti za Kiuchumi na Kijamii ESRF kwa kushirikiana na UNDP/UNEP lililenga kuzitambulisha fursa mbalimbali katika kilimo biashara, lilihudhuriwa na wananchi mbalimbali zaidi ya 750 kutoka mikoa ya Kagera, Geita, Mara na Mwanza wenyewe.