S02E01 - Vijana na Ajira, Jifunze Ukulima wa Tangawizi Part 1

Latest update : 2017-02-07 10:29:39


Afro Agriculture Community Group (AACG) ni kikundi cha vijana wanaojishughulisha na ukulima wa Tangawizi Mkoani Njombe. Maelengo ya kikundi hiki ni kuzalisha na kusambaza mazao halisi ya kilimo hasa Tangawizi Africa Mashariki na Dunia kwa Ujumla kwa kutumia mbinu za Kisasa na technologia za Ukulima.

Fuatilia Kipindi hiki ili kufahamu vizuri ukulima wa Tangawizi