S02E07 - Fahamu kuhusu Usindikaji wa Matunda na Mboga Mboga (na FEDA)
Latest update : 2017-08-21 12:18:00
Ili Kukabiliana na Changamoto ya Upotevu wa Mazao Yanayozaishwa kwa Wingi na Kutotumika yote Wakati wa Uzalishaji Basi Kusindika Mazao Hayo Ni Njia Bora Zaidi Ya Kuongeza Muda Wa Mazao Hayo (Shelf Life). Feda Waonyesha Mfano